Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 10:41 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 10:41 BHN (Biblia Habari Njema)

Anayempokea nabii kwa sababu ni nabii, atapokea tuzo la nabii. Anayempokea mtu mwema kwa sababu ni mtu mwema, atapokea tuzo la mtu mwema.

Shirikisha
Mathayo 10 BHN

Mathayo 10:41 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki.

Shirikisha
Mathayo 10 SUV

Mathayo 10:41 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki.

Shirikisha
Mathayo 10 SRUV

Mathayo 10:41 NEN (Neno)

Mtu yeyote anayempokea nabii kwa kuwa ni nabii atapokea thawabu ya nabii, naye mtu anayempokea mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki atapokea thawabu ya mwenye haki.

Shirikisha
Mathayo 10 NEN