Rukia hadi maudhui

Mathayo 10:40 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 10:40 BHN (Biblia Habari Njema)

“Anayewapokea nyinyi, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, anampokea yule aliyenituma.

Mathayo 10 BHN

Mathayo 10:40 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Awapokeaye ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma.

Mathayo 10 SUV

Mathayo 10:40 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Awapokeaye ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma.

Mathayo 10 SRUV

Mathayo 10:40 NEN (Neno)

“Mtu yeyote atakayewapokea ninyi atakuwa amenipokea mimi, na yeyote atakayenipokea mimi atakuwa amempokea yeye aliyenituma.

Mathayo 10 NEN