Rukia hadi maudhui

Mathayo 10:23 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 10:23 BHN (Biblia Habari Njema)

“Watu wakiwadhulumu katika mji mmoja, kimbilieni mji mwingine. Kweli nawaambieni, hamtamaliza ziara yenu katika miji yote ya Israeli kabla Mwana wa Mtu hajafika.

Mathayo 10 BHN

Mathayo 10:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.

Mathayo 10 SUV

Mathayo 10:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.

Mathayo 10 SRUV

Mathayo 10:23 NEN (Neno)

Wakiwatesa katika mji mmoja, kimbilieni mji mwingine. Amin, amin nawaambia, hamtamaliza miji yote ya Israeli kabla Mwana wa Adamu kuja.

Mathayo 10 NEN