Mathayo 10:2 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 10:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya: Wa kwanza ni Simoni aitwaye Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohane ndugu yake
Shirikisha
Mathayo 10 BHNMathayo 10:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye
Shirikisha
Mathayo 10 SUVMathayo 10:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simoni aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye
Shirikisha
Mathayo 10 SRUVMathayo 10:2 NEN (Neno)
Haya ndiyo majina ya hao mitume kumi na wawili: wa kwanza, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye
Shirikisha
Mathayo 10 NEN