Mathayo 10:11 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 10:11 BHN (Biblia Habari Njema)
“Mkiingia katika mji wowote au kijiji, tafuteni humo mtu anayestahili kutembelewa, na kaeni huko mpaka mtakapoondoka mahali hapo.
Mathayo 10:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mji wo wote au kijiji cho chote mtakachoingia, tafuteni ni nani humo aliye mtu mwaminifu; mkae kwake hata mtakapotoka.
Mathayo 10:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na mji wowote au kijiji chochote mtakachoingia, tafuteni ni nani humo aliye mtu mwaminifu; mkae kwake hadi mtakapotoka.
Mathayo 10:11 NEN (Neno)
“Mji wowote au kijiji chochote mtakapoingia, tafuteni humo mtu anayestahili, nanyi kaeni kwake hadi mtakapoondoka.