Walawi 7:30 - Linganisha Matoleo Yote
Walawi 7:30 BHN (Biblia Habari Njema)
Atamletea kwa mikono yake mwenyewe kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto. Ataleta mafuta yake pamoja na kidari ambacho atafanya nacho ishara ya kumtolea Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Walawi 7 BHNWalawi 7:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mikono yake mwenyewe itamletea hizo sadaka za kusongezwa kwa moto; mafuta yake pamoja na kidari atayaleta, ili kwamba hicho kidari kitikiswe kuwa sadaka ya kutikiswa mbele ya BWANA.
Shirikisha
Walawi 7 SUVWalawi 7:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)
mikono yake mwenyewe itamletea hizo sadaka za kusongezwa kwa moto; mafuta yake pamoja na kidari atavileta, ili kwamba hicho kidari kitikiswe kuwa sadaka ya kutikiswa mbele ya BWANA.
Shirikisha
Walawi 7 SRUVWalawi 7:30 NEN (Neno)
Ataleta sadaka kwa mikono yake mwenyewe iliyotolewa kwa BWANA kwa moto; ataleta mafuta ya huyo mnyama pamoja na kidari, naye atainua hicho kidari mbele za BWANA kuwa sadaka ya kuinuliwa.
Shirikisha
Walawi 7 NEN