Rukia hadi maudhui

Walawi 3:2 - Linganisha Matoleo Yote

Walawi 3:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mnyama huyo na kumchinja mlangoni mwa hema la mkutano. Hao makuhani wazawa wa Aroni watainyunyizia madhabahu damu yake pande zake zote.

Walawi 3 BHN

Walawi 3:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Naye ataweka mkono wake kichwani mwake huyo aliyemtoa, na kumchinja mlangoni pa hema ya kukutania; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.

Walawi 3 SUV

Walawi 3:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Naye ataweka mkono wake kichwani mwake huyo aliyemtoa, na kumchinja mlangoni pa hema ya kukutania; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.

Walawi 3 SRUV

Walawi 3:2 NEN (Neno)

Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha sadaka yake na kumchinja penye ingilio la Hema la Kukutania. Ndipo makuhani, wana wa Haruni, watanyunyiza damu ya huyo mnyama pande zote za madhabahu.

Walawi 3 NEN