Walawi 2:3 - Linganisha Matoleo Yote
Walawi 2:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Sehemu inayobaki ya sadaka hiyo ni ya makuhani. Hiyo ni sehemu takatifu kabisa ya sadaka anayotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto.
Walawi 2:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na huo uliosalia wa ile sadaka ya unga utakuwa ni wa Haruni na wanawe; ni kitu kitakatifu sana katika sadaka zilizosongezwa kwa BWANA kwa njia ya moto.
Walawi 2:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
na huo uliosalia wa ile sadaka ya unga utakuwa ni wa Haruni na wanawe; ni kitu kitakatifu sana katika sadaka zilizotolewa kwa BWANA kwa njia ya moto.
Walawi 2:3 NEN (Neno)
Sadaka ya nafaka iliyobaki ni ya Haruni na wanawe; ni sehemu ya sadaka iliyo takatifu sana iliyotolewa kwa BWANA kwa moto.