Rukia hadi maudhui

Yoshua 7:2 - Linganisha Matoleo Yote

Yoshua 7:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Yoshua akawatuma watu kutoka Yeriko kwenda mji wa Ai, ulio karibu ya Beth-aveni, mashariki ya Betheli, akawaambia, “Nendeni mkaipeleleze nchi.” Nao wakaenda na kuupeleleza mji wa Ai.

Yoshua 7 BHN

Yoshua 7:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kisha Yoshua akatuma watu kutoka Yeriko mpaka mji wa Ai, ulio karibu na Bethaveni, upande wa mashariki wa Betheli, akawaambia, akisema, Pandeni juu mkaipeleleze nchi, basi wakapanda juu wakaupeleleza Ai.

Yoshua 7 SUV

Yoshua 7:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kisha Yoshua akatuma watu kutoka Yeriko mpaka mji wa Ai, ulio karibu na Beth-aveni, upande wa mashariki wa Betheli, akawaambia, akisema, Pandeni juu mkaipeleleze nchi, basi wakapanda juu wakaupeleleza Ai.

Yoshua 7 SRUV

Yoshua 7:2 NEN (Neno)

Basi Yoshua akatuma watu kutoka Yeriko waende Ai, karibu na Beth-Aveni mashariki mwa Betheli, akawaambia, “Pandeni mkaipeleleze nchi.” Basi wale watu wakapanda wakaipeleleza Ai.

Yoshua 7 NEN