Yoshua 2:8 - Linganisha Matoleo Yote
Yoshua 2:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Rahabu akawaendea hao wapelelezi juu darini kabla hawajalala
Yoshua 2:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kabla hawajalala akawaendea juu darini
Yoshua 2:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Tena kabla hawajalala akawaendea juu darini
Yoshua 2:8 NEN (Neno)
Kabla wale wapelelezi hawajalala, Rahabu akawaendea huko juu darini