Rukia hadi maudhui

Yoshua 2:7 - Linganisha Matoleo Yote

Yoshua 2:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, wale watu waliotumwa na mfalme wakawafuatia kwa kupitia njia iliyokuwa imeelekea kwenye vivuko vya Yordani. Na mara tu walipoondoka mjini, lango la mji likafungwa.

Yoshua 2 BHN

Yoshua 2:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi hao watu wakawafuata kwa njia iendayo Yordani mpaka vivukoni; na mara wale watu waliowafuatia walipokwisha kutoka, wakalifunga lango.

Yoshua 2 SUV

Yoshua 2:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi hao watu wakawafuata kwa njia iendayo Yordani mpaka vivukoni; na mara wale watu waliowafuatia walipokwisha kutoka, wakalifunga lango.

Yoshua 2 SRUV

Yoshua 2:7 NEN (Neno)

Basi hao watu wakaondoka kuwafuatilia wale wapelelezi katika njia inayoelekea vivuko vya Yordani. Mara wafuatiliaji walipotoka nje, lango likafungwa.

Yoshua 2 NEN