Rukia hadi maudhui

Yoshua 2:4 - Linganisha Matoleo Yote

Yoshua 2:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini, yule mwanamke alikuwa amekwisha waficha watu hao wawili. Basi, akawaambia wajumbe hao, “Ni kweli kwamba hao watu walikuja kwangu, lakini mimi sikujua wametoka wapi.

Yoshua 2 BHN

Yoshua 2:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Yule mwanamke akawatwaa wale watu wawili, akawaficha, akasema, Naam, wale watu walikuja kwangu, lakini sikujua walikotoka

Yoshua 2 SUV

Yoshua 2:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Yule mwanamke akawatwaa wale watu wawili, akawaficha, akasema, Naam, wale watu walikuja kwangu, lakini sikujua walikotoka

Yoshua 2 SRUV

Yoshua 2:4 NEN (Neno)

Lakini huyo mwanamke alikuwa amewachukua hao watu wawili na kuwaficha. Akasema, “Naam, watu hao walikuja kwangu, lakini sikujua walikotoka.

Yoshua 2 NEN