Yoshua 2:2 - Linganisha Matoleo Yote
Yoshua 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Mfalme wa mji wa Yeriko akaambiwa, “Tazama, wanaume wawili Waisraeli wameingia mjini leo usiku ili kuipeleleza nchi.”
Shirikisha
Yoshua 2 BHNYoshua 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme wa Yeriko akaambiwa, kusema, Tazama, watu wawili wa wana wa Israeli wameingia humu leo usiku, ili kuipeleleza nchi.
Shirikisha
Yoshua 2 SUVYoshua 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mfalme wa Yeriko akaambiwa, kusema, Tazama, watu wawili wa wana wa Israeli wameingia humu leo usiku, ili kuipeleleza nchi.
Shirikisha
Yoshua 2 SRUVYoshua 2:2 NEN (Neno)
Mfalme wa Yeriko akaambiwa, “Tazama! Baadhi ya Waisraeli wamekuja huku usiku huu kuipeleleza nchi.”
Shirikisha
Yoshua 2 NEN