Yoshua 2:17 - Linganisha Matoleo Yote
Yoshua 2:17 BHN (Biblia Habari Njema)
Hao watu wakamwambia, “Sisi tutalitimiza kabisa jambo ulilotufanya tuahidi kwa kiapo.
Yoshua 2:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale wanaume wakamwambia, Sisi tunataka tusiwe na hatia kwa ajili ya kiapo hiki ulichotuapisha.
Yoshua 2:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wale wanaume wakamwambia, Sisi tunataka tusiwe na hatia kwa ajili ya kiapo hiki ulichotuapisha.