Rukia hadi maudhui

Yoshua 18:2 - Linganisha Matoleo Yote

Yoshua 18:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ambayo hayakuwa yamegawiwa sehemu yao ya nchi.

Yoshua 18 BHN

Yoshua 18:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Zilisalia katika wana wa Israeli kabila saba ambazo hazijagawanyiwa bado urithi wao.

Yoshua 18 SUV

Yoshua 18:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ya wana wa Israeli ambayo yalikuwa hayajagawiwa urithi wao.

Yoshua 18 SRUV

Yoshua 18:2 NEN (Neno)

lakini palikuwa bado makabila saba ya Israeli ambayo yalikuwa hayajapokea urithi wao.

Yoshua 18 NEN