Yakobo 2:2 - Linganisha Matoleo Yote
Yakobo 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Tuseme mtu mmoja ambaye amevaa pete ya dhahabu na mavazi nadhifu anaingia katika mkutano wenu, na papo hapo akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi machafu.
Yakobo 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana akiingia katika sinagogi lenu mtu mwenye pete ya dhahabu na mavazi mazuri; kisha akiingia na maskini, mwenye mavazi mabovu
Yakobo 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Maana akiingia katika sinagogi lenu mtu mwenye pete ya dhahabu na mavazi mazuri; kisha akiingia na maskini, mwenye mavazi mabovu
Yakobo 2:2 NEN (Neno)
Je, ikiwa mtu anakuja katika kusanyiko lenu akiwa amevaa pete ya dhahabu na mavazi mazuri, na kisha akaingia mtu maskini aliyevaa mavazi yaliyochakaa.