Rukia hadi maudhui

Hosea 6:2 - Linganisha Matoleo Yote

Hosea 6:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Baada ya siku mbili, atatupa uhai tena, naam, siku ya tatu atatufufua ili tuweze kuishi pamoja naye.

Hosea 6 BHN

Hosea 6:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Baada ya siku mbili atatufufua; siku ya tatu atatuinua, nasi tutaishi mbele zake.

Hosea 6 SUV

Hosea 6:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Baada ya siku mbili atatufufua; siku ya tatu atatuinua, nasi tutaishi mbele zake.

Hosea 6 SRUV

Hosea 6:2 NEN (Neno)

Baada ya siku mbili atatufufua; katika siku ya tatu atatuinua, ili tuweze kuishi mbele zake.

Hosea 6 NEN