Hosea 4:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hosea 4:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Kuapa, uongo, mauaji, wizi na uzinzi huzuka humo. Umwagaji damu hufuatana mfululizo.
Hosea 4:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapana neno ila kuapa kwa uongo, na kuvunja ahadi, na kuua, na kuiba, na kuzini; huruka mpaka, na damu hugusana na damu.
Hosea 4:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hapana neno ila kuapa kwa uongo, na kuvunja ahadi, na kuua, na kuiba, na kuzini; huruka mpaka, na kumwaga damu mfululizo.
Hosea 4:2 NEN (Neno)
Kuna kulaani tu, uongo na uuaji, wizi na uzinzi, bila kuwa na mipaka, nao umwagaji damu mmoja baada ya mwingine.