Hosea 3:2 - Linganisha Matoleo Yote
Hosea 3:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, nikamnunua huyo mwanamke kwa vipande kumi na vitano vya fedha na magunia mengi ya shayiri.
Shirikisha
Hosea 3 BHNHosea 3:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nikajinunulia mwanamke huyo kwa vipande kumi na vitano vya fedha, na homeri moja ya shayiri, na nusu ya homeri ya shayiri
Shirikisha
Hosea 3 SUVHosea 3:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi nikajinunulia mwanamke huyo kwa vipande kumi na vitano vya fedha, na homeri moja ya shayiri, na nusu ya homeri ya shayiri
Shirikisha
Hosea 3 SRUVHosea 3:2 NEN (Neno)
Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu ya shayiri.
Shirikisha
Hosea 3 NEN