Hosea 2:6 - Linganisha Matoleo Yote
Hosea 2:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, nitaiziba njia yake kwa miiba, nitamzungushia ukuta, asipate njia ya kutokea nje.
Hosea 2:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kwa ajili ya hayo, angalia, nitaiziba njia yako kwa miiba, nami nitafanya kitalu juu yake, asipate kuyaona mapito yake.
Hosea 2:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi kwa ajili ya hayo, angalia, nitaiziba njia yako kwa miiba, nami nitafanya kitalu juu yake, asipate kuyaona mapito yake.
Hosea 2:6 NEN (Neno)
Kwa hiyo mimi Mungu nitaizuia njia yake kwa vichaka vya miiba, nitamjengea ukuta ili asiweze kutoka.