Hosea 2:3 - Linganisha Matoleo Yote
Hosea 2:3 BHN (Biblia Habari Njema)
La sivyo, nitamvua nguo abaki uchi, nitamfanya awe kama alivyozaliwa. Nitamfanya awe kama jangwa, nitamweka akauke kama nchi kavu. Nitamuua kwa kiu.
Shirikisha
Hosea 2 BHNHosea 2:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nisije nikamvua nguo zake akawa uchi, nikamweka katika hali aliyokuwa nayo siku ya kuzaliwa kwake, na kumfanya kama jangwa, na kumweka kama nchi kame, na kumfisha kwa kiu
Shirikisha
Hosea 2 SUVHosea 2:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
nisije nikamvua nguo zake akawa uchi, nikamweka katika hali aliyokuwa nayo siku ya kuzaliwa kwake, na kumfanya kama jangwa, na kumweka kama nchi kame, na kumwua kwa kiu
Shirikisha
Hosea 2 SRUVHosea 2:3 NEN (Neno)
Kama sivyo nitamvua nguo zake awe uchi na kumwacha uchi kama siku ile aliyozaliwa. Nitamfanya kama jangwa, nitamgeuza awe nchi ya kiu, nami nitamuua kwa kiu.
Shirikisha
Hosea 2 NEN