Rukia hadi maudhui

Hosea 2:16 - Linganisha Matoleo Yote

Hosea 2:16 BHN (Biblia Habari Njema)

“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Siku hiyo, wewe utaniita ‘Mume wangu,’ na sio tena ‘Baali wangu.’

Hosea 2 BHN

Hosea 2:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Tena siku hiyo itakuwa, asema BWANA, utaniita Ishi, wala hutaniita tena Baali.

Hosea 2 SUV

Hosea 2:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Tena siku hiyo itakuwa, asema BWANA, utaniita Ishi, wala hutaniita tena Baali.

Hosea 2 SRUV

Hosea 2:16 NEN (Neno)

“Katika siku ile,” asema BWANA, “utaniita mimi ‘Mume wangu’; hutaniita tena mimi ‘Bwana wangu.’

Hosea 2 NEN