Rukia hadi maudhui

Esta 8:4 - Linganisha Matoleo Yote

Esta 8:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Mfalme akamnyoshea Esta fimbo yake ya dhahabu, naye Esta akasimama na kusema

Esta 8 BHN

Esta 8:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndipo mfalme alipomnyoshea Esta fimbo yake ya dhahabu. Basi Esta akaondoka, akasimama mbele ya mfalme.

Esta 8 SUV

Esta 8:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo mfalme alipomnyoshea Esta fimbo yake ya dhahabu. Basi Esta akaondoka, akasimama mbele ya mfalme.

Esta 8 SRUV

Esta 8:4 NEN (Neno)

Kisha mfalme alimnyooshea Esta fimbo yake ya utawala ya dhahabu naye aliinuka na kusimama mbele yake.

Esta 8 NEN