Esta 8:2 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 8:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Mfalme akaivua pete yake ya mhuri aliyokuwa amemnyanganya Hamani, akampa Mordekai. Esta naye akampa Mordekai mamlaka juu ya mali ya Hamani.
Shirikisha
Esta 8 BHNEsta 8:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mfalme akaivua pete yake, aliyompokonya Hamani, akampa Mordekai. Naye Esta akamweka Mordekai kuwa juu ya mlango wake Hamani.
Shirikisha
Esta 8 SUVEsta 8:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi mfalme akaivua pete yake, aliyompokonya Hamani, akampa Mordekai. Naye Esta akamweka Mordekai kuwa juu ya mlango wake Hamani.
Shirikisha
Esta 8 SRUVEsta 8:2 NEN (Neno)
Mfalme akaivua pete yake ya muhuri, ambayo alikuwa amemnyangʼanya Hamani, akampa Mordekai, naye Esta akamweka Mordekai asimamie shamba la Hamani.
Shirikisha
Esta 8 NEN