Rukia hadi maudhui

Esta 7:6 - Linganisha Matoleo Yote

Esta 7:6 BHN (Biblia Habari Njema)

Esta akamjibu, “Adui yetu mkuu na mtesi wetu, ni huyu mwovu Hamani!” Hapo Hamani akashikwa na hofu mbele ya malkia na mfalme.

Esta 7 BHN

Esta 7:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Esta akasema, Ni mtesi, tena ni adui, ndiye huyu Hamani, mtu mbaya kabisa. Mara Hamani akaingiwa na hofu mbele ya mfalme na malkia.

Esta 7 SUV

Esta 7:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Esta akasema, Ni mtesi, tena ni adui, ndiye huyu Hamani, mtu mbaya kabisa. Mara Hamani akaingiwa na hofu mbele ya mfalme na malkia.

Esta 7 SRUV

Esta 7:6 NEN (Neno)

Esta akasema, “Mtesi na adui ni huyu mwovu Hamani.” Hamani alifadhaika mbele ya mfalme na malkia.

Esta 7 NEN