Rukia hadi maudhui

Esta 7:5 - Linganisha Matoleo Yote

Esta 7:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Hapo mfalme Ahasuero akamwuliza malkia Esta, “Ni nani huyo athubutuye kufanya jambo kama hilo? Yuko wapi mtu huyo?”

Esta 7 BHN

Esta 7:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndipo mfalme Ahasuero aliponena, akamwambia malkia Esta, Ni nani huyu, tena yuko wapi, ambaye moyoni mwake alithubutu kufanya hivi?

Esta 7 SUV

Esta 7:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo mfalme Ahasuero aliponena, akamwambia malkia Esta, Ni nani huyu, tena yuko wapi, ambaye moyoni mwake alithubutu kufanya hivi?

Esta 7 SRUV

Esta 7:5 NEN (Neno)

Mfalme Ahasuero akamuuliza Malkia Esta, “Ni nani huyu? Yuko wapi mtu huyu aliyethubutu kufanya jambo kama hili?”

Esta 7 NEN