Esta 7:1 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 7:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Hivyo mfalme na Hamani wakaenda kula karamu na malkia Esta.
Esta 7:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mfalme na Hamani walikuja kula karamu pamoja na malkia Esta.
Esta 7:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi mfalme na Hamani walikwenda kula karamu pamoja na malkia Esta.