Esta 6:7 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 6:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, Hamani akamjibu mfalme, “Mtu huyo ambaye mfalme angependa kumtunukia heshima
Esta 6:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Hamani akamwambia mfalme, Yule ambaye mfalme apenda kumheshimu
Esta 6:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi Hamani akamwambia mfalme, Yule ambaye mfalme apenda kumheshimu