Esta 5:4 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 5:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Esta akamjibu, “Ukipenda, ewe mfalme, uje leo pamoja na Hamani, kwenye karamu ninayoandaa kwa ajili yako, mfalme.”
Esta 5:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Esta akasema, Mfalme akiona vema, na aje leo, mfalme na Hamani, kwenye karamu niliyomwandalia.
Esta 5:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Esta akasema, Mfalme akiona vema, na aje leo, mfalme na Hamani, kwenye karamu niliyomwandalia.
Esta 5:4 NEN (Neno)
Esta akajibu, “Kama itampendeza mfalme, mfalme pamoja na Hamani waje leo katika karamu niliyomwandalia.”