Esta 4:5 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 4:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, akamwita Hathaki, mmoja wa matowashi wa mfalme aliyeteuliwa na mfalme amhudumie Esta, akamtuma kwa Mordekai kuuliza kisa na maana ya tukio hilo.
Esta 4:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Esta akamwita Hathaki, msimamizi-wa-nyumba mmojawapo wa mfalme, aliyemwagiza amhudumu Esta, akamtuma kwa Mordekai, ili ajue mambo hayo, na maana yake ni nini.
Esta 4:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kisha Esta akamwita Hathaki, towashi mmojawapo wa mfalme, aliyemwagiza amhudumue Esta, akamtuma kwa Mordekai, ili ajue mambo hayo, na maana yake ni nini.
Esta 4:5 NEN (Neno)
Ndipo Esta akamwita Hathaki, mmoja wa matowashi wa mfalme aliyekuwa amewekwa kumhudumia Esta, akamwagiza kutafuta kilichokuwa kikimtaabisha Mordekai na ni kwa nini.