Rukia hadi maudhui

Esta 4:4 - Linganisha Matoleo Yote

Esta 4:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Malkia Esta alipoarifiwa na matowashi na watumwa wa kike wake habari za Mordekai alihuzunika sana. Akampelekea Mordekai nguo za kuvaa badala ya vazi la gunia, lakini Mordekai akazikataa.

Esta 4 BHN

Esta 4:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi wajakazi wake Esta, na wasimamizi wake wa nyumba, wakamjia, wakampasha habari; naye malkia akahuzunika mno; akampelekea Mordekai mavazi, ili kumvika, na kumwondolea gunia lake; walakini yeye asikubali.

Esta 4 SUV

Esta 4:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi wajakazi wake Esta, na wasimamizi wake wa nyumba, wakamjia, wakampasha habari; naye malkia akahuzunika mno; akampelekea Mordekai mavazi, ili kumvika, na kumwondolea gunia lake; lakini yeye hakukubali.

Esta 4 SRUV

Esta 4:4 NEN (Neno)

Wajakazi wa Esta na matowashi walipokuja na kumwambia kuhusu Mordekai, alipatwa na huzuni kuu. Alimtumia nguo avae badala ya magunia, lakini Mordekai hakuzikubali.

Esta 4 NEN