Rukia hadi maudhui

Esta 3:5 - Linganisha Matoleo Yote

Esta 3:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii.

Esta 3 BHN

Esta 3:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hainami wala kumsujudia, alighadhibika sana.

Esta 3 SUV

Esta 3:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hamwinamii wala kumsujudia, alighadhibika sana.

Esta 3 SRUV

Esta 3:5 NEN (Neno)

Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima, alighadhibika.

Esta 3 NEN