Esta 3:14 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 3:14 BHN (Biblia Habari Njema)
Taarifa hiyo ilitakiwa iandikwe hadharani katika kila mkoa, ili kila mtu ajiandae kwa ajili ya siku hiyo.
Esta 3:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakili ya andiko, ya kupigwa mbiu katika kila jimbo, ilitangazwa kwa mataifa yote wawe tayari siku ile ile.
Esta 3:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nakala ya andiko hilo ilitakiwa kutolewa katika kila mkoa, ili kuwaarifu watu wote wajiandae kwa ajili ya siku hiyo.
Esta 3:14 NEN (Neno)
Nakala ya andiko la amri ilipaswa kutolewa kama sheria katika kila jimbo, na kufahamishwa kwa watu wa kila taifa ili waweze kuwa tayari kwa siku ile.