Esta 2:6 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 2:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Mordekai alikuwa miongoni mwa watu wale waliochukuliwa mateka wakati mfalme Yekonia wa Yuda alipotekwa na mfalme Nebukadneza wa Babuloni.
Shirikisha
Esta 2 BHNEsta 2:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambaye kwamba amechukuliwa mateka kutoka Yerusalemu miongoni mwa wafungwa waliochukuliwa pamoja na Yekonia, mfalme wa Yuda; ambaye Nebukadreza, mfalme wa Babeli, alimchukua.
Shirikisha
Esta 2 SUVEsta 2:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
ambaye alikuwa amechukuliwa mateka kutoka Yerusalemu miongoni mwa wafungwa waliochukuliwa pamoja na Yekonia, mfalme wa Yuda; ambaye Nebukadneza, mfalme wa Babeli, alimchukua.
Shirikisha
Esta 2 SRUVEsta 2:6 NEN (Neno)
ambao walichukuliwa uhamishoni kutoka Yerusalemu na Mfalme Nebukadneza wa Babeli, wakiwa miongoni mwa waliochukuliwa mateka pamoja na Mfalme Yekonia wa Yuda.
Shirikisha
Esta 2 NEN