Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Esta 2:5 - Linganisha Matoleo Yote

Esta 2:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Mjini Susa, palikuwa na mtu mmoja Myahudi, jina lake Mordekai, mwana wa Yairi mwana wa Shimei, mwana wa Kishi wa kabila la Benyamini.

Shirikisha
Esta 2 BHN

Esta 2:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi palikuwa na Myahudi mmoja huko Shushani ngomeni; jina lake Mordekai, bin Yairi, bin Shimei, bin Kishi, wa kabila ya Benyamini

Shirikisha
Esta 2 SUV

Esta 2:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi palikuwa na Myahudi mmoja huko Susa, mji mkuu; jina lake Mordekai, mwana wa Yairi, mwana wa Shimei, mwana wa Kishi, wa kabila la Benyamini

Shirikisha
Esta 2 SRUV

Esta 2:5 NEN (Neno)

Basi katika mji wa ngome ya Shushani palikuwa na Myahudi wa kabila la Benyamini, jina lake Mordekai mwana wa Yairi, mwana wa Shimei, mwana wa Kishi

Shirikisha
Esta 2 NEN