Esta 2:2 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, watumishi wake, waliokuwa wanamhudumia yeye binafsi, wakamshauri, “Kuna wasichana wengi wazuri; kwa nini usitafutiwe mmoja?
Shirikisha
Esta 2 BHNEsta 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumu walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri
Shirikisha
Esta 2 SUVEsta 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi watumishi wa mfalme waliomhudumia walimwambia, Mfalme na atafutiwe mabikira vijana wazuri
Shirikisha
Esta 2 SRUVEsta 2:2 NEN (Neno)
Kisha watumishi waliomhudumia mfalme walipendekeza, “Watafutwe wanawali mabikira wazuri wa sura kwa ajili ya mfalme.
Shirikisha
Esta 2 NEN