Rukia hadi maudhui

Esta 2:16 - Linganisha Matoleo Yote

Esta 2:16 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Esta alipelekwa ikulu kwa mfalme katika mwaka wa saba wa utawala wa mfalme Ahasuero, mwezi wa kumi uitwao Tebethi.

Esta 2 BHN

Esta 2:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kumiliki kwake.

Esta 2 SUV

Esta 2:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi Esta alipelekwa kwa mfalme Ahasuero, katika nyumba ya kifalme, mwezi wa kumi, ndio mwezi wa Tebethi, mwaka wa saba wa kutawala kwake.

Esta 2 SRUV

Esta 2:16 NEN (Neno)

Esta alipelekwa kwa Mfalme Ahasuero katika makao ya mfalme mwezi wa kumi, yaani mwezi wa Tebethi, katika mwaka wake wa saba wa kutawala.

Esta 2 NEN