Esta 1:2 - Linganisha Matoleo Yote
Esta 1:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa.
Shirikisha
Esta 1 BHNEsta 1:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
siku zile mfalme Ahasuero alipoketi katika kiti cha enzi cha ufalme wake, huko Shushani ngomeni
Shirikisha
Esta 1 SUVEsta 1:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
siku zile mfalme Ahasuero alipoketi katika kiti cha enzi cha ufalme wake, huko Susa, mji mkuu ngomeni
Shirikisha
Esta 1 SRUVEsta 1:2 NEN (Neno)
Wakati huo Mfalme Ahasuero alitawala kwenye kiti chake cha ufalme katika ngome ya mji wa Shushani.
Shirikisha
Esta 1 NEN