Danieli 3:6 - Linganisha Matoleo Yote
Danieli 3:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Na yeyote ambaye hatainama chini na kuiabudu, atatupwa mara moja katika tanuri ya moto mkali.”
Danieli 3:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa saa iyo hiyo katika tanuru ya moto uwakao.
Danieli 3:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa saa iyo hiyo katika tanuri liwakalo moto.
Danieli 3:6 NEN (Neno)
Mtu ambaye hataanguka chini na kuiabudu sanamu hiyo, atatupwa saa hiyo hiyo ndani ya tanuru linalowaka moto.”