Rukia hadi maudhui

Matendo 9:8 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 9:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Saulo aliinuka, na alipofumbua macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.

Matendo 9 BHN

Matendo 9:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski.

Matendo 9 SUV

Matendo 9:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski.

Matendo 9 SRUV

Matendo 9:8 NEN (Neno)

Sauli akainuka kutoka pale chini na alipojaribu kufungua macho yake hakuweza kuona kitu chochote. Basi wakamshika mkono wakamwongoza hadi Dameski.

Matendo 9 NEN