Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 9:5 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 9:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.

Shirikisha
Matendo 9 BHN

Matendo 9:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.

Shirikisha
Matendo 9 SUV

Matendo 9:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayemtesa.

Shirikisha
Matendo 9 SRUV

Matendo 9:5 NEN (Neno)

Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa.

Shirikisha
Matendo 9 NEN