Rukia hadi maudhui

Matendo 9:43 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 9:43 BHN (Biblia Habari Njema)

Petro alikaa siku kadhaa huko Yopa, akiishi kwa mtu mmoja mtengenezaji wa ngozi aitwaye Simoni.

Matendo 9 BHN

Matendo 9:43 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi Petro akakaa siku kadha wa kadha huko Yafa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi.

Matendo 9 SUV

Matendo 9:43 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi Petro akakaa siku kadhaa huko Yafa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi.

Matendo 9 SRUV

Matendo 9:43 NEN (Neno)

Petro akakaa Yafa kwa siku nyingi akiishi na Simoni mtengenezaji ngozi.

Matendo 9 NEN