Matendo 9:42 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 9:42 BHN (Biblia Habari Njema)
Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.
Matendo 9:42 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikajulikana katika mji mzima wa Yafa; watu wengi wakamwamini Bwana.
Matendo 9:42 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ikajulikana katika mji mzima wa Yafa; watu wengi wakamwamini Bwana.
Matendo 9:42 NEN (Neno)
Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana.