Rukia hadi maudhui

Matendo 9:37 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 9:37 BHN (Biblia Habari Njema)

Wakati huo ikawa kwamba aliugua, akafa. Watu wakauosha mwili wake, wakaulaza katika chumba ghorofani.

Matendo 9 BHN

Matendo 9:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ikawa siku zile akaugua, akafa; hata walipokwisha kumwosha, wakamweka orofani.

Matendo 9 SUV

Matendo 9:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ikawa siku zile akaugua, akafa; wakati walipokwisha kumwosha, wakamweka ghorofani.

Matendo 9 SRUV

Matendo 9:37 NEN (Neno)

Wakati huo akaugua, akafa, na wakauosha mwili wake wakauweka katika chumba cha ghorofani.

Matendo 9 NEN