Matendo 9:28 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 9:28 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, Saulo alikaa pamoja nao, akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana bila hofu.
Shirikisha
Matendo 9 BHNMatendo 9:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akawa pamoja nao katika Yerusalemu akiingia na kutoka.
Shirikisha
Matendo 9 SUVMatendo 9:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Naye akawa pamoja nao katika Yerusalemu akiingia na kutoka.
Shirikisha
Matendo 9 SRUVMatendo 9:28 NEN (Neno)
Kwa hiyo Sauli akakaa nao akitembea kwa uhuru kila mahali huko Yerusalemu, akihubiri kwa ujasiri katika jina la Bwana.
Shirikisha
Matendo 9 NEN