Matendo 9:26 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 9:26 BHN (Biblia Habari Njema)
Saulo alipofika Yerusalemu alijaribu kujiunga na wale wanafunzi. Lakini wote walimwogopa hawakuweza kuamini kwamba yeye amekuwa mfuasi.
Shirikisha
Matendo 9 BHNMatendo 9:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Sauli alipofika Yerusalemu, alijaribu kujiunga na wanafunzi, nao walikuwa wakimwogopa wote, wasisadiki ya kuwa yeye ni mwanafunzi.
Shirikisha
Matendo 9 SUVMatendo 9:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na Sauli alipofika Yerusalemu, alijaribu kujiunga na wanafunzi, nao walikuwa wakimwogopa wote, wasisadiki ya kuwa yeye ni mwanafunzi.
Shirikisha
Matendo 9 SRUVMatendo 9:26 NEN (Neno)
Sauli alipofika Yerusalemu akajaribu kujiunga na wanafunzi lakini wote walimwogopa, kwa maana hawakuamini kwamba kweli naye alikuwa mwanafunzi.
Shirikisha
Matendo 9 NEN