Matendo 9:23 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 9:23 BHN (Biblia Habari Njema)
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumuua Saulo.
Matendo 9:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri ili wamwue
Matendo 9:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hata siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri ili wamwue
Matendo 9:23 NEN (Neno)
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi wakapanga njama kumuua Sauli.