Rukia hadi maudhui

Matendo 9:14 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 9:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako.”

Matendo 9 BHN

Matendo 9:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.

Matendo 9 SUV

Matendo 9:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.

Matendo 9 SRUV

Matendo 9:14 NEN (Neno)

Naye amekuja hapa Dameski akiwa na mamlaka kutoka kwa viongozi wa makuhani ili awakamate wote wanaotaja jina lako.”

Matendo 9 NEN