Rukia hadi maudhui

Matendo 9:1 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 9:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa kuhani mkuu

Matendo 9 BHN

Matendo 9:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu

Matendo 9 SUV

Matendo 9:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu

Matendo 9 SRUV

Matendo 9:1 NEN (Neno)

Wakati ule ule, Sauli alikuwa bado anazidisha vitisho vya kuua wanafunzi wa Bwana, akamwendea kuhani mkuu

Matendo 9 NEN