Matendo 8:6 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 8:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Watu walijiunga kusikiliza kwa makini ule ujumbe wa Filipo na kuona ile miujiza aliyoifanya.
Shirikisha
Matendo 8 BHNMatendo 8:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na makutano kwa nia moja wakasikiliza maneno yale yaliyosemwa na Filipo walipoyasikia na kuziona ishara alizokuwa akizifanya.
Shirikisha
Matendo 8 SUVMatendo 8:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na mkutano kwa nia moja wakasikiliza maneno yale yaliyosemwa na Filipo walipoyasikia na kuziona ishara alizokuwa akizifanya.
Shirikisha
Matendo 8 SRUVMatendo 8:6 NEN (Neno)
Watu walipomsikia Filipo na kuona ishara na miujiza alizofanya, wakasikiliza kwa makini yale aliyosema.
Shirikisha
Matendo 8 NEN